EFATHA KIGAMBON

EFATHA KIGAMBON
we bling the world to gether with blood of jesus

Ijumaa, 3 Machi 2017

EFATHA KIGAMBON YOUTH ORGANIZATION


Kiongozi wa Vijana wa Efatha kigambon youth organization akishiriki Ibada ya pamoja na wanafunzi wa mashuleni katika Wilaya ya kigamboni kuwa shauli na kuwafundisha ni jinsi gani wana weza
Kusimama  sawa sawa kati ubadae wao na Elimu yao kwaujumla

Kiongozi Uyo aliwataka wanafunzi ao
Washare Changamoto Zao ambazo wanazo zipitia na kuwa saidia na kuhaidi kuwa atakua bega kwa bega kuakikisha
Wanafika maali. 
Katika Elimu pia katika Maisha yao kiujumla, kupitia yesu Kristo wa Efatha.