EFATHA KIGAMBON

EFATHA KIGAMBON
we bling the world to gether with blood of jesus

Jumapili, 11 Agosti 2013

MTUMISHI WA MUNGU ZILEZE JAPHET AKIFAYA UKOMBOZI KWALIO NA MAITAJI MBALIMBALI

Mtimishi wa mungu Zileze Japhet akiombea wa waumini wake wahabuduo katika kanisa lake la efatha ministy lililopo kigambon katika ibada iliyo fanyika siku ya jumapili ya tarehe 11/08/2013 ambopo wakati  watu wanapeleka shidazao na kutua mizigo yaho kwa bwana baada ya kuelewa juu ya somo lilo fundishwa na mtumishi huyo juu ya Mamlaka itendayo kazi juu ya mwanadu ambayo Mungu
ameiweka ndani ya mwanadamu