Mtumishi Mungu Anna Kelvin akimtukuza Munngu kwa kupitia huduma ya u wimbaji na kumtukuza Mungu kwaajili ya kigambon na wahaasa wa umini kwa uimbaji akiwambia"Ekaya siaya" ikiwa ina maana ya kwa
"forward ago" yaani aki maanisha wa umini wakanisa la Mungu wa songembele wasiludi nyuma kwa maana
wokou pekeyake ndio unao mpeleka Mtu kwa Yesu na sio dunia.
Mtumishi aki abudisha kakitika kipindisha maombezi naukombozi wakati wenye magonjwa nauitaji wameamu kuji udhulisha kwa yesu mtendemaajabu na mponya juu mizigo na shida nyingi zinazo
wakabili katika maisha yao.
WAMTUMAINIO BWANA NI KAMA MLIMA SAYUNI HAWATATIKISIKA MILELE DAIMA.
Jumanne, 27 Agosti 2013
Jumatatu, 26 Agosti 2013
WATUMISHI WA MUNGU WA KIMTUKUZA MUNGU NA KUUSIFU UZULI WA MUNGU
Mtumishi wa Mungu zileze Japhe akiwa na mwimbaji wakimataifa katika ibada iliyo fanyika katika kanisala
Huduma ya Efatha kigambon wa kimtukuza Mungu katika mwaka wa mashangilio ndani ya mjiuo
wa kimwambia mungu asante kwaajili ya kigambon
Ndiyo iliyo kwamaana upendo,umoja,ushilikiano ndio asili ya watu wakuu katika kujipongeza na kumshukulu
Mungu na kushilikishana katika neno
Huduma ya Efatha kigambon wa kimtukuza Mungu katika mwaka wa mashangilio ndani ya mjiuo
wa kimwambia mungu asante kwaajili ya kigambon
Ndiyo iliyo kwamaana upendo,umoja,ushilikiano ndio asili ya watu wakuu katika kujipongeza na kumshukulu
Mungu na kushilikishana katika neno
Jumapili, 11 Agosti 2013
MTUMISHI WA MUNGU ZILEZE JAPHET AKIFAYA UKOMBOZI KWALIO NA MAITAJI MBALIMBALI
Mtimishi wa mungu Zileze Japhet akiombea wa waumini wake wahabuduo katika kanisa lake la efatha ministy lililopo kigambon katika ibada iliyo fanyika siku ya jumapili ya tarehe 11/08/2013 ambopo wakati watu wanapeleka shidazao na kutua mizigo yaho kwa bwana baada ya kuelewa juu ya somo lilo fundishwa na mtumishi huyo juu ya Mamlaka itendayo kazi juu ya mwanadu ambayo Mungu
ameiweka ndani ya mwanadamu
ameiweka ndani ya mwanadamu
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)