Kiongozi wa Vijana wa Efatha kigambon youth organization akishiriki Ibada ya pamoja na wanafunzi wa mashuleni katika Wilaya ya kigamboni kuwa shauli na kuwafundisha ni jinsi gani wana weza
Kusimama sawa sawa kati ubadae wao na Elimu yao kwaujumla
Washare Changamoto Zao ambazo wanazo zipitia na kuwa saidia na kuhaidi kuwa atakua bega kwa bega kuakikisha
Wanafika maali.

